Ameeleza kuwa polisi wamepiga marufuku mikutano ya hadhara. Haraka ya nini?lakini mkuu mkutano kufanyika ndani ya ule ukumbi utakuwa na walengwa?kwa nini wasingefanya mkutano wa hadhara kwa wote?
Amejibu soma para ya 3.lakini mkuu mkutano kufanyika ndani ya ule ukumbi utakuwa na walengwa?kwa nini wasingefanya mkutano wa hadhara kwa wote?
Nafikiri ungemalizia hadi taifa kwa taifa.Wanasema,hawalalai hadi kieleweke,kikieleweka CCM chali.Ni harakati za mtu kwa mtu,mlango kwa mlango,nyumba kwa nyumba,kaya kwa kaya,kijiji kwa kijiji,wilaya kwa wilaya,mkoa kwa mkoa,hadi Taifa.
Hata kama watawachanganya watu kwa kutumia mbinu za kiintelenjesia lakini watanzania wa leo si wa jana kabisa. Wacha waanzishe mambo ya posho na upuuzi mwingine lakini hautaepusha jokoo kuchinjwa siku ya sikuuu.
Ameeleza kuwa polisi wamepiga marufuku mikutano ya hadhara. Haraka ya nini?
e bana poleni kwa kukatiwa umeme, lakini izo ndo harakati za ukombozi, viva Soweto, viva chademacha ajabu kwa sababu ya kongamano la chadema kufanyika katika eneo la soweto, eneo lote la soweto lilikatiwa ngeleja kuwaadhibu wakazi wote wa soweto mpaka jioni!
tunaomba ratiba kanda ya ziwa tunawasubiri kwa hamu sana.e bana hii ni kali sana, e mola wabaliki chadema watufikishe uko salama, najua magamba (ccm) hawataamini, walijua maandamano ndo njia yao chadema lakini hii ni nimeipenda pia ni kali kuliko, naomba ratiba kigamboni mtakuja lini kwani lazima nihudhurie, e mola wabariki chadema daima na milele, nape upoooooooo....