Mkutano wa CHADEMA Mwanza mambo yanazidi kupamba moto.


na 2000 za mfukoni,
 
Leo tumechoka sana kwa sababu tulikuwa tunajadili mkutano wa CCM. Mambo ya mkutano wa chadema itabidi tujadili kesho.
 

vijana waliobeba ujumbe wa kuwaunga mkono wabunge wa chadema waliosimamishwa na naibu spika


haikuishia kulishitaki bunge tu kwa wananchi,pia wananchi waliamua kutoa michango ya kuendesha vuguvugu la mabadiliko kwa kanda ya jimbo la ziwa magharibi chini ya kamanda mawazo


wana wa nchi hii waliochoshwa na mfumo wa kimangimeza wakiwasiliza viongozi waliotka miongoni mwao


mungu wabariki watanzania waliogundua haki zao na kuamua kujikomboa toka mfumo dume
 
Nyomi ya kutosha, je wangeenda na Diamond kama wenzao ingekuwaje. Unajiuliza watu wanaenda kusikiliza mkutano au wanaenda kumwangalia Diamond.
 
Thread kama hizi kuna watu huwa wanapita kama guests.....na kusepa kimya kimya
viva M4C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…