Mkutano wa CHADEMA leo Kigamboni

Mkutano wa CHADEMA leo Kigamboni

Mke wa mh. Dr. Slaa ndiye gmetoka kuongea sasa hivi na kaingia mzee mwenyewe Slaa.
 
Uwanja ulifurika ajabu, c.c.m walipita na mdundiko kutaka kuvuruga mkutano wa ukawa wameshindwa,
 
CDM, vox populi vox Dei.... sauti ya umma sauti ya Mungu.
 
mkutano wa cdm kigamboni-mnadani katika picha
 

Attachments

  • 1417886164837.jpg
    1417886164837.jpg
    69.3 KB · Views: 192
  • 1417886198521.jpg
    1417886198521.jpg
    44.5 KB · Views: 189
CCM hawakubaliki kabisa! Wananchi wengi walikuwa maeneo ya Mnadani walipokuwa CHADEMA. CCM aibu yenu hiyo.
 
Back
Top Bottom