Mkutano wa CHADEMA leo Kigamboni

Half London

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
261
Reaction score
117
Habari wana Jf? Niko hapa Kigamboni maeneo ya Mnadani,nasubiria mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Utaanza hivi punde.
 
poa tuletee na picha tafadhali
 
ccm wakipoteza kigamboni hawana wa kumlaumu!
 
Mh.Dr. Slaa anamalizia kuongea na wazee wa tawi la chama,ofisi ya Tungi Kigamboni. Raia waliochoka na ufisadi wanazidi kuongezeka maeneo ya Mnadani.
 
Ccm wanasema kura zao ziko majumbani siyo kwenye majukwaa "
 
Watu wamefurika na wanazidi kuongezeka, muda si mrefu mkombozi wa watanzania atawasili hapa. Watu wanamgoja kwa hamu wengine wamekuwepo tangu asubuhi wakimgojea mkombozi wao.
 
Peoples power ndiyo inapigwa kumkaribisha Dr.SLaa.
 
Mnadani ndio hapo kwenye Ma-Tank ya Mafuta?
 
dakika chache kiboko ya magamba, dr slaa atawasili
 
Boda boda za kumwaga wakimsindikiza Dr.Slaa. Simu yangu ya torch siwezi kupiga picha.
 
Viongozi wa dini wanaombea mkutano wetu huu wa CHADEMA.
 
Ccm wapo watoto tu. Wanapitapita hapa kujaribu kutuharibia lakini hawataweza. WASHINDWEEE....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…