Mkutano wa CHADEMA Kigoma wafana

Chama teule kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Viva CDM,najivunia na sintojutia
 
Kamanda Ally Mvano Mungu akubariki sana.
 
Asante Kigoma.Asante wazee wa Kigoma.Asante Chadema!
 
Chadema walianza na shetani lazim wamalize na shetani mtaniambia tu.
 
hivi kuna mtu alitegemea cdm itayumbishwa kigoma na wale wasakatonge ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…