hiyo rangi ya maandishi una uhakika ni ya chadema?. acha ugamba wewe. nyie ndo mwisho wa siku mnasaliti. au umetumwa kukiharibu chama?. wenzio tukiona rangi ya kijani tunasikia kichefuchefu. ondoa hilo bandiko. mia
inaonekana huelewi. mimi sina tatizo la rangi. nmesema wakati hii thread inapostiwa kulikua na rangi ya kijani lakini kwa sasa wameshabadilisha. je umeshindwa hata kugundua kama thread wameiedit?. mia