Naomba kuwasilisha
[video=youtube_share;eX0m3c3sdqc]http://youtu.be/eX0m3c3sdqc[/video]
[video=youtube_share;iii_xTFBd9 I]http://youtu.be/iii_xTFBd9I[/video]
[video=youtube_share;Hye9D8lZ9W Q]http://youtu.be/Hye9D8lZ9WQ[/video]
[video=youtube_share;71arHQ4Gxg E]http://youtu.be/71arHQ4GxgE[/video]
Time will tell!Nimeipenda hii hotuba.Hakika kijana ameongea kama kiongozi wa chama na siyo kama yule anayeropoka mambo ya urais kila siku.Endelea hivi hivi kijana M4C isonge mbele...
Nimeipenda hii hotuba.Hakika kijana ameongea kama kiongozi wa chama na siyo kama yule anayeropoka mambo ya urais kila siku.Endelea hivi hivi kijana M4C isonge mbele...
ukitaka kuwaskia sema "Zitto anautaka urais"
huo ndio ukwel,Leo nimeconfirm kitu, watu wanamchukia Zitto kwa sababu kawazidi kwenye siasa. Sitaki kusema ni chuki inayosababishwa na wivu.
I love this......... hata ambao tumekwishaoana tutafanya anniversaries hata kama kila mwaka, tutawaita mje mfanye kampeni
I love it