Asante Mungu kwa kuanza kusikia kilio chetu cha muda mrefu, fanya hivyo hivyo kwa mikoa yote ya Tanzania kama jiji la Arusha ili ukombozi wa Taifa hili lenye utajiri mwingi likombolewe toka kwa wajanja wachache wanaonufaika nao na kuandaa mazingira ya kujinufaisha wao na familia zao,pamoja na ndugu zao AMINA!