mkuu kumbuka ma RC WOTE ni ccm hawana kazi nzito ya kusumbua kichwa ,hivyo wanapopata kazi ya kusisimua bongo zao huamka na kujikuta wanasahau wapo kwa kazi za kitaifa na sio kuhangaika na vyama ,hili ni tatizo kwa wananchi wanabeba jukumu kubwa la kulipia mishahara ,magari makubwa ,ofisi kubwa ,posho nono..hili ni tatizo .tuliangalie kupitia katiba mpya umuhimu wa ofisi hizi R.C NA D C