Mkutano wa CCM Sinza C wadoda


Ccm ni majanga kila sehemu, hata huku kwa mrombo Arusha wamezindua kampeni leo ila hawakupata watu kabisa. Wale ma mc iliwabidi walewe kupunguza soo, wametoka hapo wako bwiiii! Ni full aibu
 
Leo kigamboni kwetu tulikuwa na mzee slaa aliwapoteza mbaya CCM. CCM wamepiga nyimbo zao wakaja kutufanyia fujo watu wanawangalia tu
Sema Dr Slaa.! siyo mzee silaa. hii ya kuita mzee silaa wanaitumia wale wendawazimu na mwenye busha,yule mwenyekiti wao,na kina nape..!
 
Hapa sinza watu washaelimika.

CCM mtaambulia aibu tu. Diwani wetu ni Pamba.
 

Hao waliokodiwa ni wajinga sana, wanalipwa buku tano lakini watendelea kuwa na dhiki mpaka mwisho wa dunia, kweli wabongo hawawezi hata kufiria! unaenda kwenye mkutano wa ccm kwa kuhongwa buku tano halafu mwanao anakaa chini shuleni na hata walimu hawfundishi kwa kukosa maslahi mazuri, wkt huo watoto wa hao mnaowashabikia hawasomi shule zenu za kina kayumba! shame on u!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…