Peoples......?Power!leo tar 7/9/14 Kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara Kata ya Pugu utakaofanyika eneo la Pugu Kajiungeni kuanzia saa 8 mchana na utahutubiwa na viongoz wa Kitaifa hivyo ukiwa mwanachama,mpenzi,mkereketwa ama mwananchi mpenda Demokrasia ya Ukweli na Mabadiliko unaalikwa njoo tuungane Pamoja katika harakati za Ukombozi wa Taifa Letu.Karibu wewe na Jamaa zako wote.Ahsante