Mkurugenzi hana chama kwa namna mnavyotuaminisha, wanaruhusiwa kuongea na raia yeyote. Nyie mlitaka huyo mkurugenzi aongee na nani? Au anaruhusiwa kuongea na CCM tu, akiongea na mtu wa CUF ni dhambi!
Alikywa kwenye kikao anafanya deal la kuuza viwanja vya Halmashauri,ukizingatia alichukua gari la halmashauri kwenye shughuli za za kuoa Kyle babati likapata ajali sasa anafanya vikao visicyorasmi ili kupata pesa kutengeneza gari la halmashauri kwa siri.Over