Mkurugenzi wa wilaya ya Siha, uko chama gani?

Tanzania 1973

Member
Oct 26, 2017
5
3
Mkurugenzi wa Wilaya ya Siha naomba utujuze wewe ni wa Chama cha Mapinduzi au la.

Nauliza hivi maana mchana unaonekana na watu wa chama B. Je umejiunga nao?
 
Mkurugenzi hana chama kwa namna mnavyotuaminisha, wanaruhusiwa kuongea na raia yeyote. Nyie mlitaka huyo mkurugenzi aongee na nani? Au anaruhusiwa kuongea na CCM tu, akiongea na mtu wa CUF ni dhambi!
 
Wakurugenzi wameajiliwa kutumikia wananchi wa vyama vyote hivyo wanaongea na mtu yoyote wa chama chochote
 
Wakurugenzi wameajiliwa kutumikia wananchi wa vyama vyote hivyo wanaongea na mtu yoyote wa chama chochote
Alikywa kwenye kikao anafanya deal la kuuza viwanja vya Halmashauri,ukizingatia alichukua gari la halmashauri kwenye shughuli za za kuoa Kyle babati likapata ajali sasa anafanya vikao visicyorasmi ili kupata pesa kutengeneza gari la halmashauri kwa siri.Over
 
Kwani hata kauli ya mheshimiwa kuwa maendeleo hawana chama Wala itikadi wewe unaipinga
 
Nijuavyo mm kule Siha Ni chadema full...madiwani Ni CDM 80% so just think about it...wanaomzunguka Ni watu gani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom