Mkurugenzi wa (TPSF) Bwana Godfrey Simbeye amekanusha kushirikishwa katika upigaji marufuku viroba

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) Bwana Godfrey Simbeye amekanusha kushirikishwa katika upigaji marufuku wa viroba na kusema kwamba marufuku hayo yamefanywa kisiasa.

Chanzo: ITV Habari - Mahojiano Mubashara.
 
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) Bwana Godfrey Simbeye amekanusha kushirikishwa katika upigaji marufuku wa viroba na kusema kwamba marufuku hayo yamefanywa kisiasa.. Chanzo. ITV Habari-Mahojiano Mubashara.
Hakuna kushirikishwa hii ni awamu ya viwanda.
 
naombea habari iwe ya kweli aiseee, maana nilikuwa nmeshapanga kununua box 20 kama stock
 
Very mechanical! Hii serikali ni kama reasoning imeenda likizo isiyo na malipo.
Wanahamasisha kujenga viwanda wakati wanafanya maamuzi yanyoweza kufunga vingine au kupunguza wafanyakazi na mzunguko wa fedha. Kimewashinda nini mathalani:
- Kuweka sheria kuanzia sasa viroba sana wa vileo vingine vitanunuliwa kwa kitambulisho?!
-Under 18 wote ni marufuku kukutwa na kiroba
-Marufuku kununua carton kama huna leseni ya duka au glosary?

Haiingii akilini kupiga marufuku viroba wakati vileo bado viko kwenye chupa. Unachofanya sasa ni kuhamasisha watu wanunue chupa walewe. Kama issue ni plastic, anzisha utaratibu wa chupa ndogo kama huko Ulaya.
 
Umeandika sahihi kabisa..altenative ingine wangepandisha kodi kwenye viroba.. Hapo bei ingepanda so mtu wateja na wazalishaji wangehama wenyewe...
 
Back
Top Bottom