PreGE2025 Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja, Mohamed Hajii achukua fomu ya ubunge wa Jimbo la Kigamboni

PreGE2025 Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja, Mohamed Hajii achukua fomu ya ubunge wa Jimbo la Kigamboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja na Mama Sports Promotion na Mkurugenzi wa Makunduchi Villa Mohamed Haji, leo Juni 29, 2025 amechukua fomu ya nafasi ya ubunge wa Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CCM Wilaya ya Kigamboni, Mohamed Haji amesema amepata msukumo wa kugombea nafasi ya ubunge ili kusaidia kazi kubwa inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza majukumu mbalimbali katika wilaya hiyo, pindi akipata ridhaa hiyo.


 
Back
Top Bottom