Mkurugenzi wa MSD: Tanzania ina ARVs za kutosha, tumeshafanya maandalizi

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
726
Reaction score
953
IMG-20250319-WA0223.jpg

View: https://www.youtube.com/watch?v=Wok58GcHwLs

Bohari ya Dawa (MSD), imesema kuwa Serikali imejipanga kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza kutokana na uamuzi wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump kusitisha misaada ya kwa nchi za Afrika.

Mapema mwaka huu, mara baada ya kuapishwa Rais Trump alitangaza kusitisha misaada yote iliyokuwa ikitolewa na Shirika la Misaada la Marekani (USAID) ikiwamo ugawaji bure wa dawa za kufubaza virusi vinavyosababusha ugonjwa wa Ukimwi (ARV).

Akizungumza kuhusu miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Machi 19, 2025, Mkurugenzi wa MSD, Mavere Tukai amessma kutokana na maelekezo ya Rais kwa MSD hakuna cha kusubiri.

"Tumeshafanya maandalizi ya kutosha kwa kuzingatia athari zake kwa wananchi.

“Tumehakikisha tunayo mikataba ya kutosha katika ununuzi wa dawa zote za miradi msonge ambayo inayokana na misaada ili ikitokea Marekani imesitisha Watanzania hawaathiriki na chochote,” alisisitiza Tukai.
 
Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imesema imejipanga kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza kutokana na uamuzi wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump kusitisha misaada ya kwa nchi za Afrika ikiwemo ARVs ambapo Watanzania wametolewa hofu kwamba ARVs zipo za kutosha Tanzania.

1742403858759.png
Soma: WHO: Marekani kusitisha kugawa ARVs bure, itasababisha vifo vya watu Milioni 3

Akiongea kuhusu mafanikio ya miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano March 19, 2025 Jijini Dodoma, Mkurugenzi wa MSD, Mavere Tukai amesema kutokana na maelekezo ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa MSD, hakuna cha kusubiri “Tumeshafanya maandalizi ya kutosha kwa kuzingatia athari zake kwa Wananchi”

"Tumehakikisha tunayo mikataba ya kutosha katika ununuzi wa dawa zote za miradi msonge (ikiwemo ARVs, vyandarua, chanjo n.k) ambayo inatokana na misaada na ufadhili wa USAD ili Marekani ikisitisha misaada Watanzania wasiathirike na chochote"

1742403987083.png
 
Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imesema imejipanga kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza kutokana na uamuzi wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump kusitisha misaada ya kwa nchi za Afrika ikiwemo ARVs ambapo Watanzania wametolewa hofu kwamba ARVs zipo za kutosha Tanzania.

Akiongea kuhusu mafanikio ya miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano March 19, 2025 Jijini Dodoma, Mkurugenzi wa MSD, Mavere Tukai amesema kutokana na maelekezo ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa MSD, hakuna cha kusubiri “Tumeshafanya maandalizi ya kutosha kwa kuzingatia athari zake kwa Wananchi”

“Tumehakikisha tunayo mikataba ya kutosha katika ununuzi wa dawa zote za miradi msonge (ikiwemo ARVs, vyandarua, chanjo n.k) ambayo inatokana na misaada na ufadhili wa USAD ili Marekani ikisitisha misaada Watanzania wasiathirike na chochote”

msd.png
 
Mtegemea cha nduguye hufa maskini
 
Back
Top Bottom