Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro aenguliwa

Hujui hicho ni kifaa cha jeshi? Jamaa akipiga sehemu anaichukua taasisi na kuigicha sehemu isiyokaguliwa na CAG mfano ni ATCL..
Mnunuzi wa kivuko mv bwagamoyo hayuko salama, atie maji kwa nywele kichwani.
 
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Kayombe Masoud Lyoba kutokana na usimamizi usioridhisha wa miradi ya maendeleo

Moja ya usimamizi mbovu anaodaiwa kufanya ni usimamizi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya na ni kutokana na ununuzi wa dawa ya mchwa kwa gharama kubwa ya Tsh. Milioni 66 kinyume na gharama halisi

Pia, kutozingatia taratibu za manunuzi na miongozo ya matumizi ya fedha za ujenzi wa hospitali za Halmashauri na kufanya ununuzi wa kokoto kwa gharama kubwa ya Tsh. Milioni 45 na kuzisafirisha kwa Tsh. Milioni 42

Kutokana na hayo, Meneja wa TARURA Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Mhandisi Godfrey George Mlowe atakaimu nafasi ya Ukurugenzi wa Halmashauri hiyo
View attachment 1169056
Hawa watu kuwafukuza haitoshi,uchunguzi kamili ufanyike,forensic,hawiwezekeni watu wanunue kokoto kwa milioni 45,harafu kuzisafirisha itumike 45millioni! Tuambiwe zilikuwa zinanunuliwa wapi kuperekwa wapi,waliohusika kuzipiga,wazilipe na waende jera
 
Ni nadra kusikia huko TARURA/TANROADS akitumbuliwa mtu.

Inaonekana huko wote ni wasafi/malaika.
 
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Kayombe Masoud Lyoba kutokana na usimamizi usioridhisha wa miradi ya maendeleo

Moja ya usimamizi mbovu anaodaiwa kufanya ni usimamizi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya na ni kutokana na ununuzi wa dawa ya mchwa kwa gharama kubwa ya Tsh. Milioni 66 kinyume na gharama halisi

Pia, kutozingatia taratibu za manunuzi na miongozo ya matumizi ya fedha za ujenzi wa hospitali za Halmashauri na kufanya ununuzi wa kokoto kwa gharama kubwa ya Tsh. Milioni 45 na kuzisafirisha kwa Tsh. Milioni 42

Kutokana na hayo, Meneja wa TARURA Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Mhandisi Godfrey George Mlowe atakaimu nafasi ya Ukurugenzi wa Halmashauri hiyo
View attachment 1169056
Rais atusaidie na sisi Mvomero jamani,yaani Mkurugenzi yupo yupo tu,kama hayupo hivii.hafuatilii kabisa utendaji ws waliochini yake,yaani miradi inakwenda hovyo hovyo tu.
 
Hawa watu kuwafukuza haitoshi,uchunguzi kamili ufanyike,forensic,hawiwezekeni watu wanunue kokoto kwa milioni 45,harafu kuzisafirisha itumike 45millioni! Tuambiwe zilikuwa zinanunuliwa wapi kuperekwa wapi,waliohusika kuzipiga,wazilipe na waende jera
I support you 100%.Haiwezekani watu wale hela yetu halafu waachwe hivi hivi.
 
Hujui hicho ni kifaa cha jeshi? Jamaa akipiga sehemu anaichukua taasisi na kuigicha sehemu isiyokaguliwa na CAG mfano ni ATCL..
Alipokuwa ananunua haikuwa oder ya jeshi. Hesabu zake zinakagulika! Na kwa hili urais hauna kinga ya mashtaka.
 
Hizi tumbua tumbua zina double standard sana, Mbona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Shinyanga ni fisadi sana

Na kapoteza mamilioni ya fedha lakini bado anadunda?

Mradi kama huo wa Ujenzi wa kituo cha Afya, ujenzi wa Chinji la kisasa, Ujenzi wa Dampo na ujenzi wa Barabara kote ni hivyo tu lakini yupo tu? Kilikoni who is behind this man.

Maana hat juzi 29.07.2019 Baraza la Madiwani liliazimiankutukoa na imani nae kutokana na kushindwa kusimamia miradi ya maendeleo.

Anyways time will tell Wananchi wanaona na wataganya maamuzi.

Huyo dawa yake inachemka punde si punde tutaiipua!!
 
Hawa watu kuwafukuza haitoshi,uchunguzi kamili ufanyike,forensic,hawiwezekeni watu wanunue kokoto kwa milioni 45,harafu kuzisafirisha itumike 45millioni! Tuambiwe zilikuwa zinanunuliwa wapi kuperekwa wapi,waliohusika kuzipiga,wazilipe na waende jera
Ara r r r sana mkuu. Kwanini lakin wakati ulipiga umande?
Faiza Foxy njoo, kuna tatizo huku.
 
Hizi tumbua tumbua zina double standard sana, Mbona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Shinyanga ni fisadi sana

Na kapoteza mamilioni ya fedha lakini bado anadunda?

Mradi kama huo wa Ujenzi wa kituo cha Afya, ujenzi wa Chinji la kisasa, Ujenzi wa Dampo na ujenzi wa Barabara kote ni hivyo tu lakini yupo tu? Kilikoni who is behind this man.

Maana hat juzi 29.07.2019 Baraza la Madiwani liliazimiankutukoa na imani nae kutokana na kushindwa kusimamia miradi ya maendeleo.

Anyways time will tell Wananchi wanaona na wataganya maamuzi.
Acha majungu Fanya kazi yako
Huna hata data
 
Mzee wa teua tengua ,anaacha kiini cha tatizo anafuta dalili badala ya kujitengua mwenyewe maana yeye ndio tatizo .
Tumia comon sense, Rais atawajua watu wote, kiutaratibu analetewa mapendekezo tu kwa maana ya jina, anamteua
Na akivuruga pia iwe yy ameona au viongozi wa uyo mhusika wameona tatizo wanamuomba Rais atengue wakimpa sababu za kwann wanaona hafai kama ilivotokea ktk hili, tamisemi ambao ni mamlaka yake ya nishamuonya hawajaridhishwa na utendaji wakaomba Rais atengue
 
Mlowe nakukumbuka sana tokea ukiwa njombe halmashauri ni jembe sana na yuko poa sana.
 
Hizi tumbua tumbua zina double standard sana, Mbona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Shinyanga ni fisadi sana

Na kapoteza mamilioni ya fedha lakini bado anadunda?

Mradi kama huo wa Ujenzi wa kituo cha Afya, ujenzi wa Chinji la kisasa, Ujenzi wa Dampo na ujenzi wa Barabara kote ni hivyo tu lakini yupo tu? Kilikoni who is behind this man.

Maana hat juzi 29.07.2019 Baraza la Madiwani liliazimiankutukoa na imani nae kutokana na kushindwa kusimamia miradi ya maendeleo.

Anyways time will tell Wananchi wanaona na wataganya maamuzi.
Useme wewe,kuna wa kibaha naye hovyo,huyu hakuwa kwenye kundi teule tu
 
Kuna tatizo kubwa mahali hawezekani unakesha na majina usiku kucha ukiyachambua kisha pakikucha unateua alafu baadae unatengua
Kabisa mkuu, sidhani hata kama vetting inafanyika kwa hawa makada wanaopewa vyeo seeikalini kweli Ni aibu na hasara kubwa kwa taifa.
Kuna mmoja aliyeuliwa kule butiama Ali naye alishatumbuliwa alikuwa mihuni flani hivi hata wa kupostpost hela mtandaoni wale wato wanaoposti tuburungutu twa hela walizonazo, aliyeuliwa uded huyo Jamaa somebody magori.
Nilishangaa Sana , simply alikuwa kwenye kinyang'anyiro Cha kuomba kugombea ubunge wa musoma mjini kupitia ccm ambapo chama kilimpitisha mathayo vedastus,
Alivyoteuliwa uded huyo jamaaa nikasema kweli utumishi wa umma umevamiwa sadly naye hakujirekesha and shortly akatumbuliwa
 
Back
Top Bottom