Hahaaaa! Kumbe waganga wa kienyeji wana kazi rahisi sana. Kuna watu badala ya kwenda hospitali, munajitafutia tiba wenyewe! Tumia vyombo husika kwa viwango husika. Achana na mambo ya visima, matenki, bhla-bhla! Unanishauri nilale kwenye hoteli zenye matenki! Uzuri nina ka elimu kakutosha kukupa hata ushauri. Siku nyingine ukiwa safarini sikiliza harufu ya maji unayooga. Kama una uelewa kama wangu utaisikia harufu ya humic acid. Ukiisikia tu, hiyo ina maana unaoga uchafu wa udongo na kwa hapa Dar, hicho ni kinyesi.Pole sana next time usifikie guest za bei poa hukk vichochoroni. Guest hata Tank na pump ya kupandisha maji haina? Vp mbu nao?
Dogo umebobea guest za uchochoroni(@ cheap)Hahaaaa! Kumbe wanganga wa kienyeji wana kazi rahisi sana. Kuna watu badala ya kwenda hospitali, munajitafutia tiba wenyewe! Tumia vyombo husika kwa viwango husika. Achana na mambo ya visima, matenki, bhla-bhla! Unanishauri nilale kwenye hoteli zenye matenki! Uzuri nina ka elimu kakutosha kukupa hata ushauri. Siku nyingine ukiwa safarini sikiliza harufu ya maji unayooga. Kama una uelewa kama wangu utaisikia harufu ya humic acid. Ukiisikia tu, hiyo ina maana unaoga uchafu wa udongo na kwa hapa Dar, hicho ni kinyesi.
Baadaye angalia matenki ya maji yako hapo nje, ukiona ukoko wa blue, hiyo ni ishara nyingine ya maji machafu ya chumvi ya baharini. Unaijua sababu? Pole. Maji siyo mahitaji ya kujitafutia. Ni hitaji linalotolewa na vyombo maalumu kwa viwango!
MOROWASA ni takatakaNiko hapa morogoro ktk moja ya hotel zinazosifika. Ninachokiona bado rais Magufuli hajapata watu wanaostahili kumsaidia ktk uongozi. Kuna watu hawa wanaojiita ni wakurugenzi, mainjinia wa maji. Watu hawa wanatia aibu takribani miji yote isipokuwa Tang
a.
Hapa morogoro hakuna maji. Kisingizio cha mkurugenzi wa MORUWASA eti maji hayatoshi kwa wakazi wa mji huu lakini ajabu ni kwamba kuna magari yanasomba maji toka huko huko MORUWASA na kuyaleta mahotelini na majumbani. Hali hii haikubaliki na ni aibu kuendelea kuwa na wakurugenzi wa aina hii. yasemekana magari haya ni miradi yao waajiliwa wa MORUWASA!
Nasikitika sana kuona suti ninayovaa na kujiita mgeni ndani ya hotel, naishia kuoga maji ya ndoo na vikopo. Kule kwangu Dar, tunaoga maji ya chumvi yaliyochimbwa na mahoteli, labda huko idadi ni kubwa, iweje kamji kama haka nako ni tatizo?
Morogoro Mtaa was Mlimani kata ya mkundi, maji watu wananunua ndoo tsh 400 had 500/= umeme hakuna Barbara hazijachongwa, nk viwanja vimepimwa nyumba ziko nyingi, wananchi wengi. Tabu ya maji utafikiri Jangwani. Diwani hakai ktk kata take ndiyo tatizo. Mbunge hajawahi tembelea mtaa huu.Niko hapa morogoro ktk moja ya hotel zinazosifika. Ninachokiona bado rais Magufuli hajapata watu wanaostahili kumsaidia ktk uongozi. Kuna watu hawa wanaojiita ni wakurugenzi, mainjinia wa maji. Watu hawa wanatia aibu takribani miji yote isipokuwa Tanga.
Hapa morogoro hakuna maji. Kisingizio cha mkurugenzi wa MORUWASA eti maji hayatoshi kwa wakazi wa mji huu lakini ajabu ni kwamba kuna magari yanasomba maji toka huko huko MORUWASA na kuyaleta mahotelini na majumbani. Hali hii haikubaliki na ni aibu kuendelea kuwa na wakurugenzi wa aina hii. yasemekana magari haya ni miradi yao waajiliwa wa MORUWASA!
Nasikitika sana kuona suti ninayovaa na kujiita mgeni ndani ya hotel, naishia kuoga maji ya ndoo na vikopo. Kule kwangu Dar, tunaoga maji ya chumvi yaliyochimbwa na mahoteli, labda huko idadi ni kubwa, iweje kamji kama haka nako ni tatizo?
Hili la mazingira ni ziada ya uzembe kwa viongozi wa mkoa. Kumbe ndo maana Makonda anatolewa kama mfano wa kuigwa maana Mkuu wa mkoa wa Morogoro ana ubunifu gani?? Kila mwaka miezi hii milima yote inawashwa moto. Mgeni yeyote ukifika moro, usiku ni kizaa zaa! Baada ya muda wake huu, nini anachoweza kuonyesha kwamba hili ni matokeo ya fikra zake?Zamani Morogoro maji yalikuwa yanatiririka kila kona ya mlima. Mito ilikuwa ina flow all over the town. Tatizo la wananchi kuharibu mazingira sasa athari zake ndio hizo... Kuna kazi sana kushughulikia changamoto za maji going foward...