Second Lieutenant
Senior Member
- Jan 13, 2014
- 143
- 26
Acha ukenge!
Habari wana JF,
Kwa habari za Uhakika kabisa toka uko Pasua Moshi ni kwamba yule Mkurugenzi mkuu matata sana wa Bodi ya Kahawa MOshi ndugu Adolph Kumburu juzi Jumapili alifumaniwa na mke wa mtu uko Moshi na Kupokea Kichapo heavy sana kabla ya kunusuriwa na Police wa kitua kidogo cha Mabogini.
Jambo la kushangaza ni police wa kituo cha mabogini kupokea Rushwa toka kwa ndugu Kumburu na kisha kumwachia huru,kweli maskini hana Haki kabisa.Tukumbuke ndugu Kumburu amekuwa ni mtu ambaye amelalamikiwa sana na wafanyakazi wake kwa kuwanyanyasa na hata kuwafukuza kazi wafanyakazi ovyo,Amekuwa mtu ambaye hujipachika madaraka makubwa sanaa hata yanayozidi bodi ya wakurugenzi.Serikali bado imekaa kimya sana kupitia migogoro mingi sana ambayo Kumburu amekuwa chanzo.
Ingekua Dar sasa hivi sijui sura angeiweka wapi maana wangemtoa bikra mapemaa ndio kipigo kingefuata. Moshi hamjajua kukomesha ujinga huo. Dar au Tanga angefungwa kanga moja na shanga kiunoni na kushughulikiwa huku picha mnato zikipigwa kwa ajili ya kuuzwa na kupelekewa marafiki zake bure.
Habari wana JF,
Kwa habari za Uhakika kabisa toka uko Pasua Moshi ni kwamba yule Mkurugenzi mkuu matata sana wa Bodi ya Kahawa MOshi ndugu Adolph Kumburu juzi Jumapili alifumaniwa na mke wa mtu uko Moshi na Kupokea Kichapo heavy sana kabla ya kunusuriwa na Police wa kitua kidogo cha Mabogini.
Jambo la kushangaza ni police wa kituo cha mabogini kupokea Rushwa toka kwa ndugu Kumburu na kisha kumwachia huru,kweli maskini hana Haki kabisa.Tukumbuke ndugu Kumburu amekuwa ni mtu ambaye amelalamikiwa sana na wafanyakazi wake kwa kuwanyanyasa na hata kuwafukuza kazi wafanyakazi ovyo,Amekuwa mtu ambaye hujipachika madaraka makubwa sanaa hata yanayozidi bodi ya wakurugenzi.Serikali bado imekaa kimya sana kupitia migogoro mingi sana ambayo Kumburu amekuwa chanzo.
Acha ukenge!
Hayatuhusu.
Fumanizi ni losa la Jinai huko Zanzibar,kwa Tanganyika sio kosa la jinaiKufanya mapenzi na mwanamke kwa hiari yake ni kosa kwa mujibu wa sheria ipi?
Fumanizi ni losa la Jinai huko Zanzibar,kwa Tanganyika sio kosa la jinai