mkereketwakamil
Member
- Aug 27, 2010
- 10
- 0
Hoja yako mbona naona kama imekaa kimajungu zaidi ya kusema yale yanayofaa kuendeleza nchi?
Kuhamishwa kwa wafanyakazi ni moja ya management techniques/procedures so kama kuna mtu yeyote anayejisikia vibaya kwa uhamisho huyo atakua si mzalendo mtanzania kwa maana kama kweli mtu ni mfanya kazi sahihi wa shirika fulani lazima awe tayari kulitumikia shirika mahala popote ukizingatia shirika kama la bima ya afya linachukua watu wa professional zote
Hoja yako imekaa kimajungu zaidi,umeshindwa kutushawishi kwa hoja ni kwa namna gani huyu jamaa hafai!Kwa kweli Keyness unaongea mambo ya vitabuni. Lakini kwa kuwa humu ndani tuko mchanganyiko basi inawezekana wewe ni mwenye kunufaika isivyo halali na NHIF. Nimefuatilia sana michango yako inayohusu NHIF. Usiwe unapinga kila kitu. Basi tupe SWOT/SWOC ya NHIF ili tuangalie kuwa wewe uko neutral.
Naunga mkono hoja kuwa NHIF isafishwe. Kwanza hii ni sehemu ya Sekta ya Afya. Mh. Pinda fanya mambo hapa.
Hoja yako imekaa kimajungu zaidi,umeshindwa kutushawishi kwa hoja ni kwa namna gani huyu jamaa hafai!