Usangu
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 826
- 450
Kumekua na Tabia ambayo inazidi kumea mizizi ya Baadhi ya Wakurugenzi na Wahandisi ujenzi wilaya ya kuwa na kampuni za ujenzi ambazo wamekua wakifanya nazo kazi za ujenzi katika Halmashauri zao au kwa kubadilishana kazi na wenzao wa Halmashauri zingine.
Kinachokera zaidi ni pale wanapo andaa kazi na zile zenye faida nzuri tena wanaziandaa kwa makusudi hujapatia wao kwa kutumia hayo makampuni yao na kazi ngumu ambazo hazina faida huwaachia wenzagu na mimi.
Namuomba waziri wa Ujenzi na Waziri wa Tamisemi wafuatilie suala hili. Kama vipi waache kuajiliwa waje mtaani tupambane kibiashara ama la wabaki wakitumikia Halmashauri zao. Na waache kunyofoa baadhi ya Karatasi kwenye Tender documents wakati wa Evaluation ili kuwabeba watu wao. 98 % ya Halmashauri ni Majipu yaliyoiva