Mkurugenzi Arusha ataleta vurugu

Mkurugenzi Arusha ataleta vurugu

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Leo asubuhi katika mahojiano kati ya mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema amesema kuwa mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na meya wake wameitisha kikao cha kupanga bajeti ya jiji la Arusha ambapo kwa taarifa alizopata ni kuwa madiwani wamegaiwa makashabrashi ya kuhusu bajeti jana jioni na kikao hicho kitafanyika kesho Ijumaa. Bw. Lema anahoji kuwa kwa kawaida makashabrasha hutolewa wiki moja kabla ya kikao sasa iweje mkurugenzi atoe kwa mda mfupi? Je madiwani watapata wapi mda wa kupitia kurasa zaidi ya mia tano na kuchangia bajeti kwa ufasaha?

Aidha lema amesema ameshawasiliana na viongozi wa juu wa serikali kuhusu jambo hilo pia atakutana na waziri mkuu na kujadiliana na kama itashindikana wataitisha mgomo na maandamano kwani maandamano hayatogoma hadi haki itakapopatikana.

SWALI NI KWAMBA JE,MKURUGENZI PAMOJA NA MEYA HAWAJUI SHERIA YA VIKAO VYA BAJETI? JE KITU GANI KINACHOWAONGOZA?
 
Huyu mkurugenzi na meya wote ni majangili tu! Hawa Mi naweza kusema wamecheleweza makabrashi hayo kwa maana fulani ila ngoja tuwasikie katika majibu yao!
 
Sijui kuna nini ila halmashauri nyingi zimetakiwa kuwasilisha bajeti zao wizara ya fedha nadhani mapema kuliko walivyotarajia. Si tatizo la Arusha pekee
 
Wana Wa Nchi
Muda wa kuongozwa na watu wenye fikra mfu na akili mbovu umepitwa na wakati, sasa ni muda wa kufanya mambo kwa umakini na waledi, Tutasimama imara kupigania kweli na haki, kamwe hatujarudi nyuma,
Wana wa Arusha, sheria inawaruhusu wanachi wote kuingia kwenye Vikao Vya Bunge na Vikao vya Halmashauri, kwa mantiki hiyo Wanachi wa Arusha jikokezeni kwa wingi kwenda kusikiliza Kikao Cha Bajeti Ya Jiji la Arusha kesho Ijumaa, mimi binafsi nitakuwepo,

"We fear nothing, justice is our culture, Victory is the way of life, and Dignity is core principal of life"

Kamanda Magoma Jr Magoma
M/Kiti Mstaafu Chadema Arusha Mjini.
 
kuna mabadiliko kwenye budget cycle. Iliopendekezwa na CAG mwaka jana kuwa haifai kupitisha bajeti kuu kwanza kabla ya individual notes. Pia alipendekeza bajeti ipitishwe kabla ya mwaka mpya wa fedha kuanza.
Serikali imeyafanyia kazi mapendekezo hayo lakini tatizo ni kuwa imeanza utekelezaji kable suala hlo halijapelekwa bubgeni kufanyiwa marekebisho kisheria kama inavyotakiwa
 
Hizi ni lugha za wanamapinduzi, well noted kamanda!
 
kuna mabadiliko kwenye budget cycle. Iliopendekezwa na CAG mwaka jana kuwa haifai kupitisha bajeti kuu kwanza kabla ya individual notes. Pia alipendekeza bajeti ipitishwe kabla ya mwaka mpya wa fedha kuanza.
Serikali imeyafanyia kazi mapendekezo hayo lakini tatizo ni kuwa imeanza utekelezaji kable suala hlo halijapelekwa bubgeni kufanyiwa marekebisho kisheria kama inavyotakiwa

I suspected so too, thanks for confirming this...
 
Wana Wa Nchi
Muda wa kuongozwa na watu wenye fikra mfu na akili mbovu umepitwa na wakati, sasa ni muda wa kufanya mambo kwa umakini na waledi, Tutasimama imara kupigania kweli na haki, kamwe hatujarudi nyuma,
Wana wa Arusha, sheria inawaruhusu wanachi wote kuingia kwenye Vikao Vya Bunge na Vikao vya Halmashauri, kwa mantiki hiyo Wanachi wa Arusha jikokezeni kwa wingi kwenda kusikiliza Kikao Cha Bajeti Ya Jiji la Arusha kesho Ijumaa, mimi binafsi nitakuwepo,

"We fear nothing, justice is our culture, Victory is the way of life, and Dignity is core principal of life"

Kamanda Magoma Jr Magoma
M/Kiti Mstaafu Chadema Arusha Mjini.

Umenena vema mkuu
 
Hata kama CAG alipendekeza Bajeti zifikishwe Mapema Serikali kuu kama mshikadau mmoja alivyodai humu , bado ilitakiwa Madiwani wapewe muda wa kutosha kuipitia .
 
Maandamano ndio solution tu hapa. Inshallah siku tutafanya ya pale sokoni.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom