Latoyamrosso
Member
- Oct 26, 2019
- 26
- 12
Taja hicho kijiji kinachofuata kutoka kimanzichana
Nimesema kijiji cha pili kutoka kimanzichana kinaitwa ngonja
Kilometers 65 nauli kutoka mbagara hadi hapo ni 2800Umbali wa kutoka dar mpaka hapo ngoja km ngap
Asante sana nakupita hapo mkuuOkay sawa. Kila la kheir mimi nipo kilimahewa hapa
Asante mkuu kwa offer yako lakini haitanilipakula laki saba saba kwa kila heka ilo la heka nne lenywe mikorosho
Kilometers 65 nauli kutoka mbagara hadi hapo ni 2800
Yes sorry ni 85 maana mpaka mkiu nina mashamba mengine ni 100Nadhani ni zaidi kidgo maana hadi pale lwq bruda kutokea dar ni km 80 hadi pale mbele ya ngunja kidogo katika shamba la marehemu masudi fikirini nadhani ni km 90 so hapo ngunja ni 85+
Yes siyo mbali. Hata mimi nilisikia lakini sijui kaishia wapi huyo mtuIla bado sio mbali sehemu ambayo ukiwa na private unaendesha gari si zaidi ya saa 1 sio mbali, na bahati maeneo hayo ni ya makazi na viwanda hivyo bado fursa ni nzuri kwa muwekezaji wa kweli. Maana hapo ngunja nilisikia kuna muwekezaji wa chikichi bonde la pundi sijui aliishia wapi