Mkumbusheni Dovutwa hili jambo labda amesahau

Mkumbusheni Dovutwa hili jambo labda amesahau

FUHRER

Member
Joined
May 29, 2013
Posts
87
Reaction score
644
Kwenye kipindi cha mzalendo kinachorushwa na ITV, siku za karibuni alihojiwa FAHAMI DOVUTWA na MREMA LYATONGA, nakumbuka waliponda sana muungano wa UKAWA kwa kuuona ni kiini macho mpaka DOVUTWA akaapa kwamba kama UKAWA wataachiana majimbo na kusimamisha mgombea mmoja basi kura zake yeye DOVUTWA zote za uraisi na ubunge wapewe UKAWA. kigezo walichotumia kuona ni vigumu UKAWA kusimamisha mgombea mmoja ni jinsi ya kugawana ruzuku na nafasi za viti maalumu.

Sasa UKAWA imesharuka viunzi vyote hivyo na wamegawana majimbo na kusimamisha mgombea mmoja KIROHO SAFI. Naomba kwa yeyote anayeonana na DOVUTWA amkumbushe ile ahadi aliyeitoa ITV asiivunje la sivyo hatutamuamini tene kwa lolote atakalolisema.
 
Mkuu Mungu akibariki sana huko uliko , lile jiwe lako la Oil com limewafanya watu wajiulize zile hela za uchaguzi walizopokea watazirudishaje ?
 
Hao wanalipwa kusindikiza wenzao tu....lazima wawepo kuonyesha dunia kuwa kuwa vyama vingi ni wehu tu hao....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom