M Magezi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2008 Posts 3,359 Reaction score 704 Nov 21, 2009 #21 si wamejadiliana na wamiliki wa TICTS na tayari wajamaa wamekubali kuruhusu makampuni mengine yafanye kazi ya kutoa mizigo pale bandarini.....labda kuna uafadhali.....sijui lakini.....wenye details watujulishe.
si wamejadiliana na wamiliki wa TICTS na tayari wajamaa wamekubali kuruhusu makampuni mengine yafanye kazi ya kutoa mizigo pale bandarini.....labda kuna uafadhali.....sijui lakini.....wenye details watujulishe.