Mkulima na Wanasiasa

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini mkulima mmoja alipoona hivyo alichimba shimo na kuwazika wote pamoja.alipoulizwa na polisi juu ya maiti mambo yalikuwa hivi;
POLISI: zipo wapi maiti?
MKULIMA: nimezizika.
POLISI: unahakika wote walikuwa wamekufa?
MKULIMA: kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini c unajua wanasiasa walivyo waongo, mi nikajua tu wameanza siasa zao na kuanza kunidanganya ikabidi niwazike wote!!!
 
Huyu mkulima siyo mzima ni wakupima huyo.
 
Dah bonge la intellectual maana wamezidi kwa aadi hewa ndo maaana hawaaminiki hata palipo na ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…