Mkuki moyoni amefariki dunia?

Mbwazoba

Member
May 5, 2011
93
6
Nilikuwa nafuatilia sana thread za huyo jamaa anaitwa mkuki moyoni,

zilikuwa na utamu kama za malaria sugu vile, ila amaepotea ghafla simuoni.

Nilitegemea ampe ms kampani, au na yeye kafungwa maisha?

Mods uwe unatupatia taarifa kwa waliofungiwa.
NAKUMBUKA SIKU ALIPOMBANA DADA REGIA MTEMA HADI REGIA AKAKIRI KUWA HECHE ANAFADHILIWA NA MATIKO NA LEMA.

hahahahahaaaaaaaaaaaaaa, kama umefungiwa basi tunaomba ukirudishwa uwe na adabu.
 
Kumbe unauliza...kwanini unahisi amekufa???Labda yuko bize au amejivua gamba!
 
Nilikuwa nafuatilia sana thread za huyo jamaa anaitwa mkuki moyoni,

zilikuwa na utamu kama za malaria sugu vile, ila amaepotea ghafla simuoni.

Nilitegemea ampe ms kampani, au na yeye kafungwa maisha?

Mods uwe unatupatia taarifa kwa waliofungiwa.
NAKUMBUKA SIKU ALIPOMBANA DADA REGIA MTEMA HADI REGIA AKAKIRI KUWA HECHE ANAFADHILIWA NA MATIKO NA LEMA.

hahahahahaaaaaaaaaaaaaa, kama umefungiwa basi tunaomba ukirudishwa uwe na adabu.
title na content hazifanani

kweli acha mtu awe mtu na mbwa awe mbwa
 
NAKUMBUKA SIKU ALIPOMBANA DADA REGIA MTEMA HADI REGIA AKAKIRI KUWA HECHE ANAFADHILIWA NA MATIKO NA LEMA.

Aisee kumbe huyu dada tukimbana anaweza kututajia siri za CDM, hata kumyamazisha NAPE kuhusu mshahara wa kamarage slaa!
 
Back
Top Bottom