Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
"..., Sitokwenda bungeni kuhojiwa mpaka nipate barua maalumu, siwezi kwenda kwa kusikia taarifa hizo kwenye vyombo vya habari, lazima wafuate utaratibu maalumu" - Paul Makonda, Rc, DSM

#My_Take;
kwamba Makonda amesahau kabisa [aliwaita] watu kwenda "sentro" kwa kutumia wito wa vyombo vya habari, bila hata kuwapa taarifa maalum za wito, bila kuwapa "police summons".., leo anasema hawezi kwenda kuhojiwa na kamati ya haki, kinga na madaraka ya bunge.., eti kwa sababu "utaratibu haujafuatwa"..,

Kweli sasa naendelea kuamini ule msemo wa wahanga, ambao ulitamba sana wakati ule, kwamba; "samaki siku zote anaanza kuoza kwenye kichwa, siyo sehemu nyingine ya mwili wake"

Makonda anataka apate wito maalum na siyo taarifa za kwenye vyombo vya habari, wakati yeye aliwaita "wale watu aliowapa shutuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya" kwa kutumia vyombo vya habari.., Mungu endelea kusamehe watu wako wa aina hii..,
 
Source :Nipashe
 
Back
Top Bottom