Mbaya zaidi wanataka wakulima wauuze mazao yao kupitiaHakuna mwana CCM anayependa maendeleo ya wakulima na wafanyakazi wa chini. So do Mkuchika... Mi nashangaa sana ilikuwaje mkampa hata ubunge kwani kauli zake zinajidhihirisha kila wakati kuwa ni mkuu wa vilaza wote nchini.
Poleni wana kusini, komaeni ili umoja wenu uwasaidie. Nadharia ya ushirika ni grassroot, yaani inaanzia kwa nyie wakulima wadogo kwenda juu, sio kuletewa na hao wezi akina mkuchika na kuwaamulia cha kufanya
Tuko Tandahimba Tuliikataa CCM bt wamechukua jimbo kwa nguvuhiyo ndo faida ya kuipa kura zenu CCm. Ikataeni ccm maana ndio kikwazo cha maendeleo yenu
Hapo ndipo unapoweza kuifananisha serikali ya CCM na ile ya mfalme JUHA ReliNini kilitokea kwa rail way kule Mtwara.
Hapo ndipo unapoweza kuifananisha serikali ya CCM na ile ya mfalme JUHA Reli
Imeng'olewa na vyuma vikatumika kujengea fensi na mageti hata huelewi walikuwa
na Lengo gani kuing'oa ile reli au ni mpango maalum wa kuididimiza kusini?
Vuta subira mkuu najaribu kutafuta vielelezo nikivinasa nitamuanika hapaMleta mada unataka kusema unazijua siri nyingi za Mkuchika na bado unazificha?unamfichia nani kwa nini usiweke uhozo huo hapa Jf ama na wewe unanufaika na uhozo huo?