Tatizo ana style moja na melody mojaHahaaa temba bila matusi kweli? Ila kiukweli temba napenda sana nyimbo zake zinaamsha amsha ya kipekee!!
Unataka ashindwe kwenda chooni na lile tumbo lakefella mbona hujamkataza Diamond kuimba matusi
Tena sio degree ujue...alikuwa anasoma bandari collegeKweli elimu haina mwisho, Temba kamaliza chuo akiwa miaka 48! Ngoja na mimi nianze form one.
Huyo temba,niki wa pili hawabadiriki kabisa style zao zinaboaTatizo ana style moja na melody moja
Bora kajiongeza maana zaidi ya kuweka tooth stick mdomoni huwa sioni anachoimbaKweli elimu haina mwisho, Temba kamaliza chuo akiwa miaka 48! Ngoja na mimi nianze form one.
Shigongo yuko 1st year, elimu haina mwisho mkuu.Kweli elimu haina mwisho, Temba kamaliza chuo akiwa miaka 48! Ngoja na mimi nianze form one.