mkopo

mkopo

harelio

New Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
4
Reaction score
0
habari watanzania nahitaj mkopo wa haraka sana wa milioni moja dhamana yangu ni gari nina kadi na mkataba wa mauzo yan nilipolinunua.
 
nenda kampuni inaitwa EFL wako sinza mapambano.. utapata fasta. ila unatakiwa urudishe na riba ya ths 300,000 kwa muda wa miezi 3.
 
ni pm ur number nitakucall nikupe masharti ya ofisi yetu na upate mkopo haraka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom