Mkopo

Mkopo

E.skillz

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
38
Reaction score
36
Habari zenu wana janvi wenzangu Mimi n mtumishi wa uma naomba kujuzwa Bank nzuri ya kukopa mkopo wa miaka 5 na iwe bank inayo tumia reducing balance kwenye loan repayment.
 
Nmb wanatumia straight method ambayo inaumiza watu den likikalibia kuisha
 
crdb public sector 20%,private sector21%
 
Back
Top Bottom