Mkopo wa viwanja + vifaa vya ujenzi

Mkopo wa viwanja + vifaa vya ujenzi

Kwa mfanyakazi mnafanyaje mpka apate uwanja,
Kwa mfanyakazi unatakiwa mwajiri wako akudhamini ambapo unatakiwa uwe na 20% na nasi tutakukopesha 80% , mkiwa wengi tunaweza kulegeza zaidi masharti, tupe mawasiliano yako tuone jinsi gani tutakuwezesha
 
OK, tutafika kwa mikoani tukipata wahitaji wengi wakajiunga pamoja tunaweza kuja kuleta huduma yetu
ukiwa na kiwanja,ushafyatua tofali na una kila kitu cha kujengea,huna hela ya fundi na kupaua hadi sasa kwa mkuranga,unakopeshwa kwa utaratibu upi?dhamana ni nini?na unatakiwa kulipaje? na mm nimfanya kazi sekta binafsi
 
Mpango safi sana, vp njia ya Morogoro mpo?
Namaanisha Kimara, kibamba nk

Au goba, makabe, msakuzi?
Bado hatujapata maeneo njia hiyo, tuachie mawasiliano yako ili tukiwa na mradi huko tukujulishe,lakini pia sisi tunaangalia uhitaji wa tunasisitiza watu kuungana katika vikundi ili iwe rahisi kuwaletea huduma
 
ukiwa na kiwanja,ushafyatua tofali na una kila kitu cha kujengea,huna hela ya fundi na kupaua hadi sasa kwa mkuranga,unakopeshwa kwa utaratibu upi?dhamana ni nini?na unatakiwa kulipaje? na mm nimfanya kazi sekta binafsi
Katika Maelezo yetu tumesema kwa sasa ili ufuzu kupata Mkopo kwetu ni lazima uwe mteja wa Viwanja vyetu kwasababu tumehakiki umiliki wake na ndiyo dhamana ya Mkopo, tuna Viwanja zaidi ya 1000 kwasasa kwa ajiri ya miradi yetu.
Kwa wafanyakazi unganeni tuiteni tutawawezesha kwa kadri tunavyoweza
 
kwa hyo nikinunua kiwanja kwenu kwa bei hyo hapo,mnanijengea kama sina pesa then mnataka nilipe sh ngap kwa mwezi?
 
Bado hatujapata maeneo njia hiyo, tuachie mawasiliano yako ili tukiwa na mradi huko tukujulishe,lakini pia sisi tunaangalia uhitaji wa tunasisitiza watu kuungana katika vikundi ili iwe rahisi kuwaletea huduma
0715131318
 
Mkuu mm nahitaji ila maeneo ya bei nafuu zaidi, ata kama muna na mashamba nahitaji pia. 0752 399070
 
Kuna kampuni moja jina nalihifadhi walikuwa na mradi kama wenu, moja ya maeneo yao ni bagamoyo bt sikupenda kule coz wamasai wanapiga mishale balaa, ni fukayosi.
 
Nahitaji viwanja kwa maeneo kuanzia 1.5m.
Ningekushauri ujipangie bajeti ya kuanzia bajeti ya mil 3.nakuendelea kwasababu zifuatazo: Viwanja vilivyopimwa huanzia ukubwa wa 20*20( sqm 400) ingawa vipo vidogo zaidi ,pili bei hiyo unaweza kupatikana kwa miradi ya mbali zaidi , kwa kuwa utapata kwa Mkopo jiwekee kuchukua eneo zuri na la kutosha ,nitazidi kukupa taarifa ya miradi yt
 
Umenena vema sana mkuu,lakini kuna maswali kadhaa nimeshindwa kuyapatia majibu;
1.Kwa kuwa malengo ni kuwasaidia wanyonge wa mikoa uliyoitaja (Dar na mengine tarajali) vipi kwa mikoa mingine kama Morogoro n.k

2.Mchanganuo wa namna mnavyowasaidia hao masikini,kwa mfano cement,mnakopesha kwa bei gani,na kwa muda gani?

3.Kwa upande wa wananchi wasio na ajira,mnawakopesha kwa vigezo gani!!?

Kwa sasa maswali yangu machache ni hayo,naendelea kutafakari wema wenu mkuu kuwasaidia raia wa Tanzania,MUNGU na awabariki sana kama nia yenu ni njema kwa masikini wa taifa letu.
 
Mkuu nimeweza kuelewa nia yenu ni nzuri na bora kwa wanyonge hasa wasio na uwezo wa kupata pesa ya pamoja

Nisaidie kuweka sawa hii

Unatakiwa kuwa na 20%(ambayo ni 960,000/=TZS)ili uweze kukopeshwa 80%.
1.Mkopo wa muda gan?
2.Kuna interest kwenye mkopo?
3.Mtu akishindwa mwishoni kuleta marejesho mkataba unasema vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom