Mkopo wa vifaa ujezi

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,274
Reaction score
4,512
Habarini wandugu?

Naomba mnisaidie wapi naweza pata msaada wa vifaa ujenzi au pesa katika project yangu ya ufugaji kisasa wa nguruwe. Sehemu ya eneo lilipo n morogoro wilaya ya ifakara karibu na airport. Naweza anza rudisha baada ya miezi Tisa kwan uzalishaji ndo utakuwa umeanza. Eneo linaukubwa wa heka 2.
Kama kuna taasisi au mtu anaeweza kufadhili huu mradi naomba tuwasiliane.
 
Finca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…