roundabout
Member
- Jun 14, 2015
- 16
- 2
Nimesikia tangazo la mkopo wa jijenge wa nyumba. Wanasema unaweza kukopa hadi 500m na unaweza kurejesha mkopo mpa miaka 20. Kama kuna mtu mwenye uelewa naomba anisaidie.
Aisee kwa hapo inamaana utalipa 25M Kwa mwaka, da kaz kwel
Utalipa kwa mshahara na hata ukizeeka utalipa kwa mafao yako ya uzeeni