Mkopo wa mshahara

Leo ni tarehe 7 mshaanza kuulizia mkopo wa salary advance
 
Haina shida, mimi tarehe moja tu nilikamata kitu cha laki 650,000/=
 
Mbona kwangu wanasema huduma hii itakujia hivi karibuni. Cjawahi kufanikiwa hata siku moja
Hata mie nilipataga hii shida nikapiga huduma kwa wateja wakaniweka sawa. Sasahv sina mawazo hela ndogo ndogo navuta tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…