Wakuu, nahitaji loan ya mill 1 Tshs nimepungukiwa katika kuanzisha biashara yangu.Niko Dar.Dhamana nilizonazo ni vitu kama friji, sofa etc. Uwezo wangu ni kurejesha kwa miezi 2 au 3 kwa riba isiyozidi 15 percent per month.Asanteni sana.
Habari kaka,samahan kwa hli ila nadhan ungeweka permanent asset watu wangekua interested ila friji,sofa hayana thaman ya mfano ukishindwa kurudisha hela watu watafute njia nyingine