Onduru Ogy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 1,136
- 1,181
Naleta swali la ndugu yangu ambaye ni
mwajiriwa miezi miwili sasa! mshahara wake ni
laki sita na hamsini na ushee hela za kitanzania!
anataka kuomba mkopo wa milioni 10 benki
yoyote japokuwa mshahara wake unapitia
NMB,kama nilivyosema ana miezi miwili tu
kwenye utumishi! je anaweza kupata kiasi hicho
cha pesa kwa haraka? riba yake ni kiasi gani na
kama si benki ni wapi anaweza kupata mkopo
huo kwa riba nafuu? Lengo la mkopo ni kununua
gari! Nawasilisha
Asubiri TSD No. alafu sio vizuri kutumia mkopo kununua liability anunue asset au aanzishe investment.
Hahahahaha kila mtu ana jifanya ana jua maana ya finance ndo maana Gari lina weza kuwa asset au liability inategemea unafanyia nini lakini haja sema hapo hilo Gari ana mpango nalo gani. Tatizo watu bado tunayo ile dhana ya watu wa kale kwamba Gari sio muhimu bado hamjui kazi ya mtu husika na mishe zakeunaelewa maana ya liabilities?
Confirmation ni mwaka mmoja, huenda taasisi chache hutumia hiyo miaka miwiliHuyo mwambie asubiri mpaka apate comfirmation letter i.e apate utambulisho rasmi kuwa ni mwajiriwa wa serikali. Nafikiri ni baada ya miaka miwili kwa permanent government employement.
Hata hivyo sizani kama anaweza kupata kiasi hicho chote.
Pia kuchukua mkopo kwajili ya kununua gari ni ulimbukeni usio na maana. Mwambie asikubari kuendekeza utumwa, huo mshahara ni mdogo sana kama ataendekeza mikopo isiyo na tija maisha mazuri atayasikia kwenye radio na kuyashudia kwa majirani.
Wewe unajua hilo Gari anataka kufanyia nini? Au ndo kama kawaida ya wabongo kuhukumu pasipo kujua chanzo na sababu za mtu. Kasema anataka 10M akanunue Gari yeye ni mtu mzima anajua kwanini anataka hilo Gari pia tuache kujudge mawazo ya watuAkanunue tu gari akale Hilo gari na atalala kwenye gari hilo nyambafuuu
Hivyo vingine vyote unavyoviwaza tayari anavyo, si wote wanaanza maisha kama ulivyoanza wewe punguza panicAkanunue tu gari akale Hilo gari na atalala kwenye gari hilo nyambafuuu
Huyo ndugu yako ni WEWE hapo kumbe [emoji23]Naleta swali la ndugu yangu ambaye ni
mwajiriwa miezi miwili sasa! mshahara wake ni
laki sita na hamsini na ushee hela za kitanzania!
anataka kuomba mkopo wa milioni 10 benki
yoyote japokuwa mshahara wake unapitia
NMB,kama nilivyosema ana miezi miwili tu
kwenye utumishi! je anaweza kupata kiasi hicho
cha pesa kwa haraka? riba yake ni kiasi gani na
kama si benki ni wapi anaweza kupata mkopo
huo kwa riba nafuu? Lengo la mkopo ni kununua
gari! Nawasilisha