Habari zenu wote?
Nimefanikiwa kupata admission mwaka huu Sweden lkn sijapata SI scholarship. Je, kuna namna yeyote ya kupata mkopo/mfadhili ndani au nje ya nchi? Anayefahamu anijulishe kwani muda wa mwisho wa kulipa ada ni 15 Mei 2023. Natanguliza shukrani.