huna ndugu, jamaa, marafiki, majirani, wafanyakazi wenzio, hadi uje ukope jamiiforums.
nahisi upepo wa utapeli na uzurumati unapita humu
Unaposema samsung galaxy s5 yenye thamani ya laki 6 una maana gani. Actually s5 ni milioni 1 na laki 2Nahitaji mkopo wa haraka wa 250,000 Tshs nitarudisha na riba baada ya wiki 2.
Dhamana ni simu Samsung galaxy s5 yenye thamani ya 600,000 Tshs.