Jamaa yangu mmoja aliniuliza jana, ni wapi anaweza kupata mkopo wa haraka Tsh. 1.5m ili akalipie ushuru wa mali yake bandarini halafu atarudisha ndani ya mwezi mmoja with 10% interest.
Yuko tayari kuweka hati ya nyumba yake kama dhamana. Kwa yeyote anayejua sehemu ya aina hii tafadhali anaombwa msaada.
Ila watu wezi kweli jamani mnashindwa kuwa waungwana walau hata 5 perecent ili upate wengi wa kuja kukopa na at the same time unamake profit. What is 10% by the way? Uroho wa fedha huo.
I wish i have ningempa kwa 1%.

Ni PM ndugu yangu uje uchukue sasa hivi
plutinum ninyi riba zenu zikoje? isijekuwa kama wale wezi wa bayport na faidika!Kama mtumish njo plutinum piga no tigo 0656874027
<br />FairPlayer,<br />
<br />
Tafadhali soma PM yangu.