jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,020
hahahahhaha na akilogwa iyo m3 haipati mpaka gari litaenda. bora aliuze m3 afanyie mambo yake yakikaa sawa anunua lingine.Jiandae kurogwa
Kwaheri my Love gari
Nakwambia mkuu,huu mfumo hauna tofauti na freemason,yaani lazima aliehahahahhaha na akilogwa iyo m3 haipati mpaka gari litaenda. bora aliuze m3 afanyie mambo yake yakikaa sawa anunua lingine.
Sio lazima anayekopa alizwe,inawezekana yeye mwenyewe akawaliza wao,chukulia kuwa gari yake ni ya wizi,nani atakuwa kalizwa kwenye hiyo deal!Nakwambia mkuu,huu mfumo hauna tofauti na freemason,yaani lazima alie
Tena atashangaa inakuwaje anashindwa kuwalipa,wakiisha uza ndio anajua kwamba alisomeshwa number.
Sio mfumo rafiki kabisa,kama hataki kuuza gari lake basi atalitoa bure
hahahahah mkuu unaweza usiamini ila namfahamu jamaa yangu alichukua mkopo wa laki,dhamana pikipiki mpya ilienda mkuu mpaka leo haaminiNakwambia mkuu,huu mfumo hauna tofauti na freemason,yaani lazima alie
Tena atashangaa inakuwaje anashindwa kuwalipa,wakiisha uza ndio anajua kwamba alisomeshwa number.
Sio mfumo rafiki kabisa,kama hataki kuuza gari lake basi atalitoa bure
Kaka hakuna watu makini kama wanaokopesha kwa gari,maana wanajua chochoro zooteSio lazima anayekopa alizwe,inawezekana yeye mwenyewe akawaliza wao,chukulia kuwa gari yake ni ya wizi,nani atakuwa kalizwa kwenye hiyo deal!
Wwe unajua ulichoandika kweli au umeandika tu ilimradi vidole vyako vichezee batani unafikiri wanakukopesha kirahisi tu kama tunavoandika hapa lazima kila document waangalie uhalali wake hakuna watu walio makini kama wakopeshaji hufanyi magumash mzeeSio lazima anayekopa alizwe,inawezekana yeye mwenyewe akawaliza wao,chukulia kuwa gari yake ni ya wizi,nani atakuwa kalizwa kwenye hiyo deal!