Mkopo wa haraka, dhamana Gari

Mkopo wa haraka, dhamana Gari

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,016
Nahitaji mkopo wa haraka wa Tsh mil 3, riba na utaratibu wa marejesho ni makubaliano yangu na mkopeshaji. Dhamana naweka gari yangu yenye usajili namba D. Napatikana Dar es Salaam.

Kwa anayehusika tuwasiliane kwa PM tafadhali.

Wasalaam.
 
Mkuu wacheki jamaa wanaitwa proshare capital wapo mikocheni migombani street barabara ya kwa jk (inayotokea junction ya zantel na mwai-kibakibroad) opp na restless nadhani. Wanadeal na mikopo ya magari
 
hahahahhaha na akilogwa iyo m3 haipati mpaka gari litaenda. bora aliuze m3 afanyie mambo yake yakikaa sawa anunua lingine.
Nakwambia mkuu,huu mfumo hauna tofauti na freemason,yaani lazima alie
Tena atashangaa inakuwaje anashindwa kuwalipa,wakiisha uza ndio anajua kwamba alisomeshwa number.
Sio mfumo rafiki kabisa,kama hataki kuuza gari lake basi atalitoa bure
 
Sio lazima anayekopa alizwe,inawezekana yeye mwenyewe akawaliza wao,chukulia kuwa gari yake ni ya wizi,nani atakuwa kalizwa kwenye hiyo deal!
 
hahahahah mkuu unaweza usiamini ila namfahamu jamaa yangu alichukua mkopo wa laki,dhamana pikipiki mpya ilienda mkuu mpaka leo haamini
 
Sio lazima anayekopa alizwe,inawezekana yeye mwenyewe akawaliza wao,chukulia kuwa gari yake ni ya wizi,nani atakuwa kalizwa kwenye hiyo deal!
Kaka hakuna watu makini kama wanaokopesha kwa gari,maana wanajua chochoro zoote
Ukiwapa gari tu wanajua nini cha kufanya,hawakosei hata siku moja
Lazima vibali vyoote wavihakiki TRA mpaka polisi huko.Wamejipanga kweli
 
watumishi jifunzeni biasharaaaa.. yaani milion 3 tu unaweka dhamana gari kweli number D????

hiyo hela ukiwa kwenye business ya kueleweka na sio mzurumati ukipatwa hata na msiba au dharura yeyote kwa network ya wenzako mnaopiga nao business unaipata hata over night
 
Sio lazima anayekopa alizwe,inawezekana yeye mwenyewe akawaliza wao,chukulia kuwa gari yake ni ya wizi,nani atakuwa kalizwa kwenye hiyo deal!
Wwe unajua ulichoandika kweli au umeandika tu ilimradi vidole vyako vichezee batani unafikiri wanakukopesha kirahisi tu kama tunavoandika hapa lazima kila document waangalie uhalali wake hakuna watu walio makini kama wakopeshaji hufanyi magumash mzee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom