Mkopo wa dharura unahitajika

Mkopo wa dharura unahitajika

Joined
Apr 18, 2017
Posts
86
Reaction score
57
Habari za leo wanaJF
Mimi ni muajiriwa katika taasisi binafsi, nina uhitaji wa mkopo wa dharura wa Tshs 200,000/- (laki mbili) kwa dhamana ya vifaa vidogo nilivyonavyo.
Malipo nitayafanya ndani ya mwezi (mpaka kufikia mwishoni mwa mwezi September)

Yeyote mwenye kuweza kuwa na msaada wa haraka katika hili, tutafutane kwa +255676095799
 
Taja aina ya Camera na kifaa chake plse
 
Habari kiongoz? vipi ulipata mtu wa kukuaidia katika hili?
 
Back
Top Bottom