Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,366 Reaction score 3,561 Feb 11, 2021 #21 Lulu92 said: Dhamana nina pikipiki Click to expand... Mungu akusaudie hitaji lako. Lakini Naona km vile unataka uuze pikipiki kijanja
Lulu92 said: Dhamana nina pikipiki Click to expand... Mungu akusaudie hitaji lako. Lakini Naona km vile unataka uuze pikipiki kijanja
Lulu92 Member Joined Aug 14, 2017 Posts 27 Reaction score 7 Feb 11, 2021 Thread starter #22 Tripo9 said: Mungu akusaudie hitaji lako. Lakini Naona km vile unataka uuze pikipiki kijanja Click to expand... Hapana sijafikia huko na ndo maana niliomba kwa riba yoyote ila kama ikitokea inatakiwa dhamana nitaeka tu pikipiki
Tripo9 said: Mungu akusaudie hitaji lako. Lakini Naona km vile unataka uuze pikipiki kijanja Click to expand... Hapana sijafikia huko na ndo maana niliomba kwa riba yoyote ila kama ikitokea inatakiwa dhamana nitaeka tu pikipiki
johnhance JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 1,769 Reaction score 2,134 Feb 11, 2021 #23 Lulu92 said: riba yoyote Click to expand... daaah , aisee
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,437 Reaction score 35,964 Feb 11, 2021 #24 Lulu92 said: Dhamana nina pikipiki Click to expand... Dhamana ingine ambayo ya thamani ila sio kitu kikubwa.. kutunza piki piki sio inahitaji nafasi kubwa... sina nafasi kubwa
Lulu92 said: Dhamana nina pikipiki Click to expand... Dhamana ingine ambayo ya thamani ila sio kitu kikubwa.. kutunza piki piki sio inahitaji nafasi kubwa... sina nafasi kubwa
M mapatomgasa Member Joined May 24, 2020 Posts 13 Reaction score 34 Feb 11, 2021 #25 Niko mwanza utaweza 20%
Ramo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2018 Posts 1,818 Reaction score 1,826 Feb 11, 2021 #26 Kama una dhamana ya maana kama vile shamba ,..njoo inbox