Punguza mhemuko, kama una mali yako au kitu cha thamani ni bora uuze.Laki 7 nipo tayari kwa riba yoyote maana tuna matatizo makubwa
Pesa kiwango kama hiki,kinataka 'security' kama utarudisha na tegemeo lako ,yaani kama huna sasa hiyo tarehe ya kurudisha utapata wapi na hasa kama shida bado hujafanikiwa kuitatua.kama unaamini una maelezo mazuri kuhusu maswali yangu njoo in box.Laki 7 nipo tayari kwa riba yoyote maana tuna matatizo makubwa
Sawa nakujaPesa kiwango kama hiki,kinataka 'security' kama utarudisha na tegemeo lako ,yaani kama huna sasa hiyo tarehe ya kurudisha utapata wapi na hasa kama shida bado hujafanikiwa kuitatua.kama unaamini una maelezo mazuri kuhusu maswali yangu njoo in box.
Njoo inbox kwa maswali zaidiNina uhakika na nipo tayari kwa chochote ambacho nitaambiwa nina matatizo makubwa
Natuma SMS ila zinakataa kujaPesa kiwango kama hiki,kinataka 'security' kama utarudisha na tegemeo lako ,yaani kama huna sasa hiyo tarehe ya kurudisha utapata wapi na hasa kama shida bado hujafanikiwa kuitatua.kama unaamini una maelezo mazuri kuhusu maswali yangu njoo in box.
Inbox sms hazitokujaNatuma SMS ila zinakataa kuja
Pesa huwa napokea tareh 28 nina uhakika wa kulipa, nina shida sana ndo maana nimeomba tu Riba yoyote sababu hiyo shida natakiwa kuitatua leo kaka ila uhakika wa kurudisha upo asilimia zoteUna uhakika na unachosema ? RIBA YOYOTE. Ulanguzi katika fedha ni kama jini unaweza kupata hizo fedha riba ikawa ya juu halafu siku saba zikaisha na ela ya watu usipate..ndio utajua hujui Riba ni nini.
Pesa huwa napokea tareh 28 nina uhakika wa kulipa, nina shida sana ndo maana nimeomba tu Riba yoyote sababu hiyo shida natakiwa kuitatua leo kaka ila uhakika wa kurudisha upo asilimia zote
Siwezi kuweka namba yangu hapa.Naomba unisaidie namba yako ili nikutafute kaka
Eleza tatizo waweza pata utatuzi mwepesi usioutarajiaLaki 7 nipo tayari kwa riba yoyote maana tuna matatizo makubwa