Kivuyo A J Member Joined Feb 23, 2018 Posts 18 Reaction score 16 Mar 30, 2018 #1 Wadau kuna kichwa cha habari nimeona leo kwenye gazeti la Nipashe kuhusu neema kwa wakopaji na waliokopa kupunguziwa, naombeni mnieleweshe kwa wale wataalam wa mambo ya mikopo.
Wadau kuna kichwa cha habari nimeona leo kwenye gazeti la Nipashe kuhusu neema kwa wakopaji na waliokopa kupunguziwa, naombeni mnieleweshe kwa wale wataalam wa mambo ya mikopo.
Kivuyo A J Member Joined Feb 23, 2018 Posts 18 Reaction score 16 Mar 30, 2018 Thread starter #2 Kupunguziwa RIBA
Kivuyo A J Member Joined Feb 23, 2018 Posts 18 Reaction score 16 Mar 30, 2018 Thread starter #3 don mzaramo said: Click to expand... Toa ushauri don
Sheikh23 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 1,202 Reaction score 2,001 Mar 30, 2018 #4 Ngoja waliosoma habari yote waje kutoa majibu..
Lee Swagger JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 1,070 Reaction score 1,816 Apr 6, 2018 #5 Mbona Kimya humu