Dada yangu kutoa ni moyo sio ushawishi.Mkopo unahitajika kwa ajili ya kumsaidia mtu kulipa ada ya chuo kwani mafadhili wake amekwama kidogo.Maelezo zaidi yanapatikana PM.Sijajua ushaiwishi uliotakiwa ni kama vile upi unaweza kuniboresheaSijui sijakuelewa.
Ila ulivyoandika ni kama vile "mwenye shida ya mkopo aje pm na sio anayeweza kukukopesha aje pm"
Lugha uliotumia haishawishi.
Hakuna moyo wakutoa hapo, unaambiwa mada yako ijakamilika unaleta ishu zingine.Dada yangu kutoa ni moyo sio ushawishi.Mkopo unahitajika kwa ajili ya kumsaidia mtu kulipa ada ya chuo kwani mafadhili wake amekwama kidogo.Maelezo zaidi yanapatikana PM.Sijajua ushaiwishi uliotakiwa ni kama vile upi unaweza kuniboreshea
Mkuu jamaa aliyeandika umeomba kibabe ndio aliyeandika jibu au msamihati sahihi na ndio ulivyoandika ni kweli matatizo ni kawaida ila kuna namna ya kuandika mafano hata mimi niliwai kuomba msaada humu aufiki 30,000/= ila niliandika kitu chenye ushawishi wa kutosha na sio kuja tu na kumwambia mtu niguate PM yaani akufuate wewe tena yaaani.Hii ndio tatizo yetu watanzania.You read too much into the insignificant and ignore the significant.Sorry if my choice of words was wrong.Or if I have not managed to convince some one.
asante kwa mwongozo.Nafikiri watanzania tuko very sentimentalMkuu jamaa aliyeandika umeomba kibabe ndio aliyeandika jibu au msamihati sahihi na ndio ulivyoandika ni kweli matatizo ni kawaida ila kuna namna ya kuandika mafano hata mimi niliwai kuomba msaada humu aufiki 30,000/= ila niliandika kitu chenye ushawishi wa kutosha na sio kuja tu na kumwambia mtu niguate PM yaani akufuate wewe tena yaaani.