Kwa uletaji huo wa tangazo sahau kupata mkopo kwa mtu anaejielewa, hausemi unata ka kufanya kitu gani, biashara, kilimo, ufugaji au una dharura, hausemi unataka kiasi gani na utarudisha kwa muda gani, hausemi hivyo vitu unavyosema dhamana viko wapi na ni vitu gani? Weka bandiko lako vizuri kijasiriamali mkuu.