Otto Mendez
Member
- May 1, 2017
- 50
- 13
Asante sana kamandaJaribu kutembelea kwenye matawi yao.....
Asante sana misasaJaribu CRDB au equity mkuu
Nipo dar riba zenu zipoje kiongozi?Kama upo Dar fika tujijenge microfinance pale Tazara kk
Mkuu jiepushe Na hizi microfinance za vichochoroni, utaishia kuwaachia hiyo lodge yako!!Nipo dar riba zenu zipoje kiongozi?
Asante kwa ushauri kiongozi coz nahitaji pesa nyingi kidogo. Ivi wale CRDB microfinance wazuri?Mkuu jiepushe Na hizi microfinance za vichochoroni, utaishia kuwaachia hiyo lodge yako!!
Nenda kwenye mabenki halisi mkuu!!
Tawi lolote au makao makuu kiongozi?Nenda DTB mkuu
Pale utapata maelekezo mkuu walikuwaga na mkopo wa nyumbaTawi lolote au makao makuu kiongozi?
Ok sawa nitawatembelea kesho na asante kamandaPale utapata maelekezo mkuu walikuwaga na mkopo wa nyumba
Kama ndio unaenda kukopa kwa mara ya kwanza Kama mkopaji binafsi sio kampuni Na kama una mzunguko na biashara nzuri nadhani wanaweza kukupa hadi 15ml!Asante kwa ushauri kiongozi coz nahitaji pesa nyingi kidogo. Ivi wale CRDB microfinance wazuri?
Nilikuwa kama sole proprietor ila kwa sasa nimefungua kampuni ila ina miezi miwili,kwaiyo nimebadilisha kutoka sole proprietorship to company. Hapo imekaaje kiongozi?Kama ndio unaenda kukopa kwa mara ya kwanza Kama mkopaji binafsi sio kampuni Na kama una mzunguko na biashara nzuri nadhani wanaweza kukupa hadi 15ml!
Mimi binafsi nilianzaga kuchukua mkopo nilipokuwa sole proprietor, nakumbuka nilianza na 15ml NMB, nikaenda 30ml baade nikasajiriwa kama SME! Hapo ndipo niliweza kuvuta mpunga mwingi kutoka kwao!!Nilikuwa kama sole proprietor ila kwa sasa nimefungua kampuni ila ina miezi miwili,kwaiyo nimebadilisha kutoka sole proprietorship to company. Hapo imekaaje kiongozi?
Ok nimekusoma kiongozi ila nataka niwatembele equity,dtb,crdb nijue utaratibu waoMimi binafsi nilianzaga kuchukua mkopo nilipokuwa sole proprietor, nakumbuka nilianza na 15ml NMB, nikaenda 30ml baade nikasajiriwa kama SME! Hapo ndipo niliweza kuvuta mpunga mwingi kutoka kwao!!
Na ulete mrejeshoOk nimekusoma kiongozi ila nataka niwatembele equity,dtb,crdb nijue utaratibu wao
Nitaleta kiongoziNa ulete mrejesho
Kabisa...hata mim sishaur mtu kukopa microfinance au saccoss bora ukakope bank riba yao sio kubwa kama hao microfinance..Mkuu jiepushe Na hizi microfinance za vichochoroni, utaishia kuwaachia hiyo lodge yako!!
Nenda kwenye mabenki halisi mkuu!!